Ni tamasha la aina yake kuwahi kutokea nchini Tanzania, litakalofanyika kwenye uwanja mpya wa taifa jijini Dar es salaam, likiwa limeandaliwa na Msama Promotions, ambapo muimbaji maarufu kabisa SOLLY MAHLANGU toka South Africa atakuwa akiimba live bila chenga huku akisindikizwa na waimbaji wengine wa hapa nchini. Stay tuned.
Kwa taarifa zaidi sikiliza redio na Tv's.